Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

Nenda kabeti huko , usituchoshe , wewe ukipingwa ban Kuna faida gan sasa
 
KUoata kituko kama hiki

Andika
VITUKO KWENDA namba 15677
 
Umeshachungulia nini ukiwa huko visiwani
 
Usitupotezee muda, ukipigwa ban ww itatusaidia nn? Hata usipokuwa member humu jf huongezi wala hupunguzi chochote, kama unajiamini weka mkeka ule hela ...sio kupayukapayuka....alaaah.
Hakuna jf bila Watu na hiyo inaanza na Mtu!

Wewe ndo hujui Umuhimu wako subiri shemeji Yako arudi kazini umpokee mfuko wa chips yai zawadi ya Dada yako ambae anazilipa usiku kwa niaba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…