Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.

Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
 
Sii mbali majibu yataanza kupatikana mwishoni mwa wiki,hapo ndio utajua kama maharage ni mboga, tarehe 18 punde baada ya mechi naomba mods wafanye kadiri ya maombi yako.
 
Ban, aina maana tuaidi utatoa nyashi mkuu
 
Nitakuunga mkono kama utaweka na ID zako nyingine hadharani, ili na zenyewe zihusishwe kwenye hiyo BAN. Kinyume na hapo, hiki unachokifanya hapa ni kutuchezea tu shere.
 
Mimi shabiki wa Simba ila Huwa sipendi sana wanaume wanaopenda kutoa viapo na ahadi za kipumbavu kama hizi. Ni ujinga mtupu na siyo football.

Kwangu Mimi naiona possibility ya Yanga kuvuka makundi ni 60%

Unaleta viapo vya kijinga kama vile siyo Mwanaume bhana!🚮
 
Hajaweka viapo vikubwa
 
Tusubiri mods waje kuweka kumbukumbu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…