Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu wewe kupigwa ban au kutopigwa ban ina athari gani humu jukwaani? Mbona binadamu mnaanza kujitafutia upekee sana na wala huna cha kukupa huo upekee.Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Kaa chini uone maana hata mwaka jana mlijiaminisha hivyo hivyo. Mwingine akasema sijui atakunya boga. Shenzi kabisa