Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Kuna Kolo mwenzio alishawahi kujiapiza kama hivi kuwa Sisi tukishinda yeye sio Muislam tena!!!
Kilichotokea alielekezwa ili Uislamu wake uendelee inabidi akasilimishwe!!!
 
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.

Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Leo ndo siku yako ya mwisho kuonekana online hapa JF hadi hapo tarehe 17 Feb 2025. Kwaheri.
 
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.

Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Haya leo tutapata majibu.
 
Mm naona Mods Ban Wacheleshe kidogo aone fujo zote weeeh afu mumpige maana ni lazima
 
Back
Top Bottom