Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.

Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Leo siku yako imefika๐Ÿ˜‚
 
1737184341156.jpg
 
Hi
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.

Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Hiyo ban inakuhusu, ungepiga bao kabla ya maneno yako. Yanga ileeee inapetaaa.
 
Back
Top Bottom