Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Kama una rafiki yako ni shabiki wa yanga kuwa nae karibu hawachelewagi kufanya maamuzi magumu
 
TANGAZO
Kesho ni siku rasmi ya kuchoma calculator zilizowadanganya yanga,fika na calculator yako bila kukosa wala kuchelewa
 
Kuna shabiki nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu😂😂😂
 
Back
Top Bottom