Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Wanaume tuliona hawa mapimbi hawana Timu wanacheza kama wamevaa Gunboots za shambaniNa mimi najiongeza hapo kama kifungashio Ikitokea Yanga wamevuka makundi nipigwe Ban ya Siku 1 maamuzi yangu yaheshimike na kutekelezwa kikamilifu.
kabisa ni Wapuuzi tu hawaTimu ina mbinu ya kushambulia tu,wakiwekewa bus hawana mbinu ingine
Yaan nahisi ntacheka huko kitandani mpaka ataamkaa.....mama...mamaaa baba anatoa machozi,,,,kalia ujueJifanye unaangalia tamthiliya akianza kukoroma we panda kitandani
πππUpo mkuu,umekuwa mpole sana si kawaida yako
Yaani. ππ acha tu mdogo wangu. LolGusa Achia twende Ligi Kuu[emoji23][emoji23]
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Madaktari wamethibitisha kuwa kijana kaponaMuda mwengine unaweza ukaanza kubishana na mtu kumbe madaktari wake wamemuachia simu waone mgonjwa wao zimerudi ama bado dozi ikung'utwe..!
Poleni sana, tunawatakia safari njema pia msimu ujaoYaani. [emoji23][emoji23] acha tu mdogo wangu. Lol
Hongera sanaaaaNa milima imehama
Uko safe mkuu, I knew itMimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
Jamaniiiii π€£π€£π€£Yanga Kuvuka Watavuka tu...kutokea pale Jangwani wakatize fire Watokezee Magomeni Mapipa...!
Lkn kwa vile vizee vya MEMKWA kuvuka Makundi ya CAF mwaka huu Wasahau...!
Ahsante. πPoleni sana, tunawatakia safari njema pia msimu ujao