Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Yaan nahisi ntacheka huko kitandani mpaka ataamkaa.....mama...mamaaa baba anatoa machozi,,,,kalia ujue
Walidharau mechi,na kuaminisha watu mwarabu anapigwa magoli mengi,wangejifanya underdog wasingeumia hivi
 
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.

Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni makundi tu.
 
Uko safe mkuu, I knew it
 
Back
Top Bottom