Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Naunga mkono hoja
 
Muda mwengine unaweza ukaanza kubishana na mtu kumbe madaktari wake wamemuachia simu waone mgonjwa wao zimerudi ama bado dozi ikung'utwe..!
Kwa akili zake timamu ameomba upigwe ban endapo UTOPOLO ataenda robo fainali.
 
Ww sio mwan cmb
 
Mechi ya TP Mazembe na MC Alger itaamua, iwapo waarabu watapigika itakuwa mteremko kwa Yanga. Vyovyote iwavyo Yanga inaenda robo fainali nami sitaki kukosa kuwepo uwanjani mechi ya mwisho Allah akinipa uwezo.

Ombi langu kwa wachezaji Yanga ilazimishe kufanya safari nyingi mbele katika mechi zetu mbili na kupunguza muda wa mabeki kupasiana kule nyuma kama nilivyoona nikiwa kwa Mkapa mechi na mazembe, viungo waje haraka kuchukua mipira kupeleka mbele. Uwezo wa kushinda mechi zote mbili upo wachezaji wajitoe zaidi.
 
Sijasahau ahadi yako hii; ninaifuatilia kwa karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…