rutegeramisi gwategera
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 446
- 494
- Thread starter
-
- #81
Tatizo bia hazipandi mawindo yangu ni totoz tu yaani huwa ninabagua sanaWapo ila mpaka ulewe sana. Mimi nilihangaika sana kwa siku mbili mfululizo, akili ikanijia nitwange bia, baada ya kubugia bia za kutosha nikaanza kuziona totozi zilizo jazia miguu... Sikukumbuka tena kukagua sura zao
Hata vijijini ninaendaAliekwambia wahaya wanakaa bukoba mjini ni nan? Nenda huko vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Gela rwabutaiziAliekwambia wahaya wanakaa bukoba mjini ni nan? Nenda huko vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sura hizi hapana siwezi kukapata kwa mademu ninatakaga wazuri Leo nilikuwa Kashozi nimeona ma sisita wazuriKandwara kaitu naona kanakuita
Siyo umalaya nimezidiwa bahati nzuri sijapata wa kunivutia naondoka Kama nilivyokuja
Kama huyu asipojiremba ukikutana naye unakimbiaMitoto ya bukoba View attachment 977331
Labda visu vya kuchinjia watu siyo wanawake wazuriNjoo tarime jo kuna visu hatari
Tarime kuna warembo???Njoo tarime jo kuna visu hatari
Wapo watoto wakare kama akina bhoke, nyang'ami na wengine wengi, hutojuta
Tarime hii ninayoifahamu Mimi?Wapo watoto wakare kama akina bhoke, nyang'ami na wengine wengi, hutojuta
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo ila mpaka ulewe sana. Mimi nilihangaika sana kwa siku mbili mfululizo, akili ikanijia nitwange bia, baada ya kubugia bia za kutosha nikaanza kuziona totozi zilizo jazia miguu... Sikukumbuka tena kukagua sura zao