Nipo Buza, nipande Magari yapi nifike Mwenge?

Nipo Buza, nipande Magari yapi nifike Mwenge?

A
Kutoka Buza kwenda Kawe lazima upande gari 2.
Panda gari ya Buza-Makumbusho ukifika Makumbusho uchukue gari yoyote ya kupita Mwenge iwe ni za kwenda Bunju/Tegeta/Mbezi au Mawasiliano(Simu 2000) kisha uwaambie wakushushe Mwenge.

Bon Voyage
Acha uongo. Buza -Kawe ipo route ya Daladala moja
 
Acha uvivu mtoto wa mkoani kanyaga kwa mguu tu mbona karibu hapo[emoji41]
 
Huko Buza ulifikaje fikaje? Au ulienda na Private car? Ukiaa main road hizo daladala zinapita hakuna za kwenda Makumbusho?
 
Kumbe route ya gari moja IPO?? Mana nataka nianze kusoma British school center IPO uko mwenge,, SAS nikiwaza gari mbili kwenda na kurudi yan itakuwa balaa sana
Habari mkuu, hapo British unaenda kusoma nini? (nauliza kwa nia njema).
mimi nina mpango wa kuja hapo kusoma kutema yai (english course) au QT, ingawa siyo leo. Maana mkwanja unapwaya kidogo.
Ada zao ni tsh ngapi?
 
Ukipata nafasi ya kujiunga mshike mkono mkuu wetu jiwe Ongozana nae akajue kimombo......
 
Habari mkuu, hapo British unaenda kusoma nini? (nauliza kwa nia njema).
mimi nina mpango wa kuja hapo kusoma kutema yai (english course) au QT, ingawa siyo leo. Maana mkwanja unapwaya kidogo.
Ada zao ni tsh ngapi?
Nataka nikasome kama PC( advance)
 
Kama zipo izo za Buza _ kawe basi itapendeza zaidi

Acha uongo. Buza -Kawe ipo route ya Daladala moja
[/QUOTE]
 
Nami napachika langu, nipo gongo la mboto! Nipande gari ipi nifike bungu chapchap (ondoa mawasiliano na makumbusho)
 
Kumbe route ya gari moja IPO?? Mana nataka nianze kusoma British school center IPO uko mwenge,, SAS nikiwaza gari mbili kwenda na kurudi yan itakuwa balaa sana
Gar za buza to kawe sidhan kama zinapita Mandela Road -Sam nujoma road to bagamayo road ila zinapita kawawa road kinondon, zinakuja kupita moroco na zinatoboa mikochen I think ni hivo bro! Ila kwa mtu wa Buza lazima apande gar mbili toka Buza mpaka Mwenge lazima upande za makumbusho au Kawe, kwa za Kawe utashuka moroco utachukua gar za bunju sokon utafika mwenge but jaribu kuangalia pia chuo chako Kiko wapi maana Sina hakika Kama hiyo rout ya magari yanayopita alihasan mwinyi to bagamayo road yatakufikisha kwenye hicho chuo chako.
 
Nisalimie Mpalange. Mwambie hata huku Pemba sifa za mtaa wake tunazipata
 
Back
Top Bottom