Gar za buza to kawe sidhan kama zinapita Mandela Road -Sam nujoma road to bagamayo road ila zinapita kawawa road kinondon, zinakuja kupita moroco na zinatoboa mikochen I think ni hivo bro! Ila kwa mtu wa Buza lazima apande gar mbili toka Buza mpaka Mwenge lazima upande za makumbusho au Kawe, kwa za Kawe utashuka moroco utachukua gar za bunju sokon utafika mwenge but jaribu kuangalia pia chuo chako Kiko wapi maana Sina hakika Kama hiyo rout ya magari yanayopita alihasan mwinyi to bagamayo road yatakufikisha kwenye hicho chuo chako.