Nipo Buza, nipande Magari yapi nifike Mwenge?

Kipo mwenge ITV opposite na Lutheran church
 
Panda Gari yoyote ya Masaki.shuka barkessa nenda Hadi sleepway. Panda boti za kwenda bongoyo ukifika shuka uliza MTU yoyote mwenge uko wapi.
 
Panda Buza- makumbusho. Ukifika makumbusho panda gari za kawe, Tegeta au Ubungo shukia ITV kituo.
 
Poa mkuu, nimekupata. Acha tu nidandie la mawasiliano ila siingii ndani nadandia la Bunju chapchap
 
Poa mkuu, nimekupata. Acha tu nidandie la mawasiliano ila siingii ndani nadandia la Bunju chapchap

Ukikuta askari pale kona ya kuingia mawasiliano konda anaweza akazingua.
Bora uende ndani tu ushuke, upande ya bunju siti ya mbele na dereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…