nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Nakubali, kama jambo lenyewe ni kweli...Umekubali hoja ya msingi kwamba mtu mzalendo anaweza kuianika nchi yake kwenye vyombo vya kimataifa na kwamba mfano wako wa Snowden umetuonesha hilo?
Nakubali, kama jambo lenyewe ni kweli...
Ninachokataa ni kuona Kabendera anaitwa mzalendo kwa kuongea vitu visivyokuwa na uthibitisho lakini...
Snowden akiitwa msaliti kwa kuongea ukweli...
Binafsi ninaposoma kitabu, nikagundua taarifa moja inayojulikana na wengi ikiwa imepotoshwa...Soma kwanza, ukitaka kumpinga muandishi, mpinge baada ya kumsoma.
Binafsi ninaposoma kitabu, nikagundua taarifa moja inayojulikana na wengi ikiwa imepotoshwa...
Huwa nafanya hitimisho la jumla kwamba hicho kitabu si cha kuaminika hata kama kuna baadhi ya taarifa ni za kweli...
Najaribu kusema kwamba, wanaokipinga hicho kitabu bila kukisoma wana hoja ya msingi...
Kwasababu kitabu kimejadiliwa humu na kuonekana na uongo mwingi, na wewe ni mmoja ya watu mlioleta baadhi ya taarifa za uongo katika kitabu hicho...
Alichokifanya Kabendera ni sawa na kumtambulisha Simba kwa kusema...This is a logical fallacy.
Your critical thinking skills need sharpening.
This logical fallacy is called hasty generalization.
"Hasty Generalization Fallacy
The hasty generalization fallacy is sometimes called the over-generalization fallacy. This fallacy occurs when an argument is based on a body of evidence that is simply too small. For instance, if your uncle was a lifelong cigarette smoker who lived into his nineties, it would be a hasty generalization to claim that smokers have a high life expectancy based on such limited evidence."
Hasty Generalization Fallacy
When formulating arguments, it's important to avoid claims based on small bodies of evidence. That's a Hasty Generalization fallacy.owl.excelsior.edu
Labda kesho😁sifi leo utakufa lini?
Kwanza kabisa, umekubali kuwa hoja yako ya kukataa kitabu kizima kwa sababu ya kosa moja ni hasty generalization logical fallacy?Alichokifanya Kabendera ni sawa na kumtambulisha Simba kwa kusema...
Mnyama Simba ana mkia, nywele nyingi na pembe...
Mtu anayemjua Simba ataenda kwenye hitimisho moja kwa moja kwamba Kabendera hamjui Simba.
Nafikiri tukubali kutokubaliana, kwanini?Hivi hata wewe mwenyewe unaelewa unataka nini?
Haya ninayoyaandika unayaelewa au napoteza muda wangu tu pengine hata uwezo wa kuelewa hasty generaluzation logical fallacy huna?
Mku,Nafikiri tukubali kutokubaliana, kwanini?
Kwasababu HGLF hai apply kwenye kila kitu...
Hapa tunazungumzia kitabu(A body of knowledge)...
Ni mategemeo ya kila mtu kwamba kitabu kiwe ni chanzo kizuri cha facts...
Kitabu kinachoitwa cha kiuchunguzi kikilalamikiwa na watu kuhusu ukweli wake kwenye baadhi ya page, kinakosa credibility.
Hahahaha,wewe akili Yako watu wanazijua?Sema JPM akili yake alikuwa anaijua mwenyewe.
Kwenye kitabu cha Kabendera...Mku,
Kitabu chenye kurasa 1500 zilizojaa facts za ukweli kikakosea spellings za jina la mtu tu, Mkapa kikamuita Mkapi, utakikataa chote kwa sababu kimekosea jina la Mkapa na kumuita Mkapi sehemu moja tu?
Kichaa aliyetujengea SGR ni mzuri sanaNina takribani siku ya tatu wilayani chato pahala nilipopachagua kufika kufanya utafiti dhidi utimamu wa akili wa Raisi wa Tanzania kabla hajawa raisi
Nikiwa kwenye utafiti wangu nikajikuta nafika pale nyumbani kwake kwanza nakutana na jengo la kanisa kubwa AMBALO kwa Sasa limefungwa
Naingiwa na shauku ya kutaka kujua hilo kanisa liliandikwa Mtakatifu Joseph mbona limefungwa?
Najulishwa yakuwa baada ya kifo Cha baba Yao familia iliwafukuzia mbali waumini wa kanisa la Pentekoste walio kuwa wanasali pale.
Pentekoste na Mtakatifu Joseph wap na wapi? Majibu niliyopewa ni kuwa Marehemu alijenga kanisa kwa lengo la kuwapa Katoliki lakini walilikataa ndo akaamua kuwapa walokole.
Kwa mtu anayeifahamu Katoliki huwezi kujenga kanisa kisha ukawapa wao, hii ilikuwa ishara ya ukichaaa tosha na kwa point hii Katoliki na Usalama walishiriki kutupa kichaa.
Mkuu achana na wajinga waliozoea kufanya kazi kimazoea...Kichaa aliyetujengea SGR ni mzuri sana
Naongea abstract. Si kitabu cha Kabendera.Kwenye kitabu cha Kabendera...
Makosa tunayojadili siyo ya kiuandishi maana hayo yamejaa kitabu chote...
Tunajadili baadhi ya taarifa anazoziita facts, mfano uvamizi wa Zitto Kabwe, mhusika mwenyewe anasema kuna makosa,tarehe ya kifo cha Sokoine...
Kama anaandika uongo kuhusu kifo cha Sokoine ambacho nchi nzima wanajua alikufa lini, tunaamini vipi anaposema Magufuli alitaka kumbaka Samia?
Mkuu tukubali tu kutokubaliana ila kukubali kwamba Kabendera ni mzalendo kwa nchi yake ni lazima nithibitishiwe kwanza alichoandika ni kweli...
Tatizo la watu weusi ni unafiki, Kabendera asingeandika kitabu hicho kama asingepata misukosuko kwenye utawala wa Magufuli...