Nipo Chato natafakari mengi, kwa hili pekee Katoliki na Usalama wangelisaidia Taifa kama wangeamua

Bila shaka unaendelea na mifano, maana kitabu cha Kabendera hakina uongo mmoja...

Hapa nita assume hilo ni kosa la kiuandishi.
 
We ni mpumbavu sana tena mjinga. Acha kuponda usichokijua kwa kutunga story na kuleta hapa mradi tu kumkashifu marehemu Magufuli. Unaanzisha thread bila mantiki lengo likiwa kashfa kwa Magufuli. Ujinga uliopitiliza...
Jiwe popote alipo ningependa afe tena
 
Huyo mzee wa watu alichafua watu wengi, bora kafa
 
We ni mpumbavu sana tena mjinga. Acha kuponda usichokijua kwa kutunga story na kuleta hapa mradi tu kumkashifu marehemu Magufuli. Unaanzisha thread bila mantiki lengo likiwa kashfa kwa Magufuli. Ujinga uliopitiliza...
Achana naye!
Hivi unajua kuwa baadhi ya watu wamelaaniwa na hawajui kama wamelaaniwa? Halafu ukishalaaniwa kwa staili hiyo, uliyelaaniwa unakuwa unawaona wale ambao hawajalaaniwa kuwa ndiyo waliolaaniwa
 
Kumuita jiwe mwamba ni kujifanya mjinga, labda mwamba wako, wewe utakuwa ni wale mliokuwa mnaitwa wanyonge
Maisha ni mafupi sana kuishi kwa chuki, sasa angalia namna unavyoteseka na kwa maandishi haya unaonesha ni mtu fulani hivi sitaki kusema ukweli unaujua mwenyewe.

Usimchukie mtu ila chukia mambo yake. Na wasiwasi utakuwa ndo wale wachawi wanaopenda kulalamika kutwa kuwasema watu na kuwachukia bila sababu.
 
Bila shaka unaendelea na mifano, maana kitabu cha Kabendera hakina uongo mmoja...

Hapa nita assume hilo ni kosa la kiuandishi.
Kwa nini ni kosa la uandishi wakati ni kosa la fact? Hilo ni kosa la mwaka.
 
Moderator
 
Kwahiyo Diamond ni Simba kwasababu anajiita hivyo?
Wew utakuwa na akili kama za Jiwe. Diamond kujiita simba ni kuonyesha nguvu alizonazo kama tasnia yake. Jiwe kujiita kichaa ni kuonyesha jinsi akili yake ilivyokuwa katika maamuzi. Pole sana ndugu mnyonge
 
Sina chuki na mtu yeyote. Pole sana ndugu mnyonge
 
Tanzania ingrkuwa na watu wenye akili magufuli hata ubunge asinge usogelea kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…