nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Bila shaka unaendelea na mifano, maana kitabu cha Kabendera hakina uongo mmoja...Haya, kitabu hicho hicho kikipatia mambo yote, kurasa 1500 zote ziwe sawa, kikakosea tarehe ya kufariki Sokoine, kikaitaja April 12, 1983 badala ya 1984, utakikataa kitabu kizima kwa sababu ya kosa moja?
Utaacha kulikataa hilo kosa moja na kukubali hayo mengine yote yaliyopatiwa, na utakataa kitabu chote kwa sababu ya kosa moja hilo?
Hapa nita assume hilo ni kosa la kiuandishi.