Nipo chuo kikuu ( MZUMBE ) Morogoro; Naombeni msaada kwa moyo mmoja

Nipo chuo kikuu ( MZUMBE ) Morogoro; Naombeni msaada kwa moyo mmoja

We ukifika mbele ya darasa gonga kienglish, ukifika mahali ukiona unakwama unaingiza na lugha yako ya kinyumbani ili kuwachanganya zaidi, wakati wanafikilia ulikuwa unaongea nini mzee unakuwa tayari unamalizia. Ni maujanja tu na kuwa na uso wa mbuzi mbele za watu, Usicheke na mtu. Unaogopa nini kwani ukikosea unapelekwa mahakamani!!!!. Wewe payuka tu ili mradi uelewe unachoongea.
ha haaaaaaa, huyo mtoto ananiburudisha kweli hapo...... na nikisoma na napoint yako ndo kabisaaaaaaaaaaa.
 
Meza viroba

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza Mzumbe, kama mjuavyo chuoni kuna presentation za hapa na pale. Tatizo linalonikabili ni kushindwa kabisa kuongea ninapofika pale mbele ya darasa, nasika kutetemeka, roho inakwenda mbio sana,midomo inakauka kabisa yaani naskia kuanguka.

Nimejaribu kufata jinsi wenzangu wanavyonishauri ili niweze kushinda hali hiyo ila nimeshindwa kabisa hivyo naongea kidogo tu nashindwa kabisa kuendelea kwani sauti inatoweka kabisa nashindwa kuongea. Naskia uchungu kuona wenzangu wanavyoongea vizuri mbele ya darasa lakini mi nashindwa kabisa.Kwa mwanafunzi yeyote atakayekuwa yuko na mimi kozi moja na darasa moja hope atakuwa amenijua hivyo naomba pia anipe ushauri kama bado hajawahi kunipa tukiwa group discussion.

Mwisho wanaJF wote natumai mtanipa ushauri utakaoweza kunisaidia.

Ukisimama mbele vuta pumz za kutosha kabla ya kuanza kuzungumza, pia kama unaruhusiwa kuvaa sun glasses vaa..hiyo ni haya (shame) si woga mara nying hutokea unapogongana na mtu kwa macho.. Usimuangalie mtu..jaalia waliopo ni familia yako ambayo inakusifu kwa unachokipresent
 
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza Mzumbe, kama mjuavyo chuoni kuna presentation za hapa na pale. Tatizo linalonikabili ni kushindwa kabisa kuongea ninapofika pale mbele ya darasa, nasika kutetemeka, roho inakwenda mbio sana,midomo inakauka kabisa yaani naskia kuanguka.

Nimejaribu kufata jinsi wenzangu wanavyonishauri ili niweze kushinda hali hiyo ila nimeshindwa kabisa hivyo naongea kidogo tu nashindwa kabisa kuendelea kwani sauti inatoweka kabisa nashindwa kuongea. Naskia uchungu kuona wenzangu wanavyoongea vizuri mbele ya darasa lakini mi nashindwa kabisa.Kwa mwanafunzi yeyote atakayekuwa yuko na mimi kozi moja na darasa moja hope atakuwa amenijua hivyo naomba pia anipe ushauri kama bado hajawahi kunipa tukiwa group discussion.

Mwisho wanaJF wote natumai mtanipa ushauri utakaoweza kunisaidia.

Fanya rehearsal mbele ya marafiki zako kama kumi or so... slowly utapata confidence ya kuongea mbele ya darasa. Lakini kama una tatizo la lugha, then you need to make more efforts kujua lugha particularly kiingereza. Hata kwa kiswahili unashindwa. Kama ni hivyo basi jaribu kama nilivyoshauri hapo juu.
 
Kwanza jiamini. Mie nakuheshimu sana kwa sababu umewin in a not so easy way. Umesoma kijijini, and here you are. Mbele ya watoto wa mjini na wenye nazo, lakini mko level moja. Hilo si dogo na linaprove kwamba uko juu. Hujasoma tuition and yet unakaa na wasoma twisheni toka chekechea in the same room! Hongera sana.

Pili jifunze presentation skills. Google utapata hints nyingi tu. Kifupi, hakikisha unaijua presentation yako vizuri na umeelewa somo vizuri. Kama hautumii power point, basi si mbaya ukawa na simbi. Usiandike mambo meengi, weka points chache na utakazoweza kuelezea.

Note:
Its ok not to know everything, unaweza kuahidi kwenda kusoma zaidi na kuuliza audience yako kama ina idea yoyote

its ok to be nervous. We all are, just take control of things na mambo yataenda.
 
Piga msuli mkali meza vitu vyote ukifika anza kutiririka mpaka mwisho ndiyo unanyamaza,hizi presentation tumezifanya sana tulivyokuwa taboraboys hususan kwenye somo laenglish1,ahsante sana mwalimu lupenza kwa kutupa assignment za kupresent zimetujenga sana
 
Pole sana dogo, I also used to get nervous speaking in front of people when i was at Mzumbe-BAF especially during Business Law presentations. What to remember is that each time the situation gets easier and easier. The more you do anything the easier it becomes because then it is familiar and you learn the reality of doing it. Your confidence in yourself also grows the more you do something...

Some tips I would recommend would be to BREATHE! Might sound like a basic, but when you are nervous and have a lot of eyes on you, your breath can leave you. Remember that you are in control of the timing, not the audience! They can wait a few seconds while you take a breath, or a sip of water, and then hear the great things you have to say.

Another tip is to remember that the audience does not know when you have made a mistake unless you tell them by making a face, saying something or becoming anxious. Long pauses are ok! Look at your notes, look up and continue with the presentation... they won't know the difference.

Also, as you said that once you have a presentation you don't even sleep, stop that, this situation creates more and more worries, ukiwaza sana kitu ndicho kitachokutokea, usiwaze kwamba utakuwa na woga, assume that you don't have any task to present tomorrow. Just Relax and know that you have great information to share and you are qualified to be in front of people to share it!
Hope this will assist!!!
 
Pole sana. Mimi ningeshauri upate kilevi kidogo muda mfupi kabla ya presentation (pata viroba viwili au vitatu). Ukiwa pale mbele kila mtu utamuona mdogo. Sitanii, hata mimi ilibidi nitumie hiyo nilipoenda kupeleka mahari ya dogo ukweni baada ya kuona siku ya kwanza nimetetemeka!
 
asante sana kwa ushauri wenu............nitajitahidi then siku nikifanya vizuri kdg nitawajulisha kwani napata sana ,,,,,,,,,,,nafikiri pia vile nimesoma kijijini kwa muda wote hadi nimeingia chuo ndio nakutana na hivi vitu vigeni vinanisumbua na kunifanya sina amani ;;;;;nitajitahidi kwa uwezo wangu wote,,,,,,,,,,,ila nauliza vipi hakuna kozi ya kusomea public speaking????????????? kwa dar au moro? .
 
mi msichana nina miaka 25. usishangae kuona umri wangu mkubwa na bado niko first year,,,nilipata na matatizo ya kifamilia,mambo ya ada yalizingua then nilipopata mfadhili nikaendelea,,,,kwa sasa naishi kwa mkopo.....
 
kuna mtu unampenda hapo darasani??
 
ha haaaaaaa, huyo mtoto ananiburudisha kweli hapo...... na nikisoma na napoint yako ndo kabisaaaaaaaaaaa.

We itabidi ulipie. Ngoja nifikirie kiasi gani kwa sekunde.
 
Mwanangu hauko peke yako! Nimepanga niwe natinga kwanza then nikiwa alosto ndo nitoe presentation!
 
Piga viroba vyakutosha. Utaongea mpaka waje kutoa hapo mbele. Pia si unajua pombe inaimprove kienglish?
 
We ukifika mbele ya darasa gonga kienglish, ukifika mahali ukiona unakwama unaingiza na lugha yako ya kinyumbani ili kuwachanganya zaidi, wakati wanafikilia ulikuwa unaongea nini mzee unakuwa tayari unamalizia. Ni maujanja tu na kuwa na uso wa mbuzi mbele za watu, Usicheke na mtu. Unaogopa nini kwani ukikosea unapelekwa mahakamani!!!!. Wewe payuka tu ili mradi uelewe unachoongea.

jf is the best place 2 be.
 
Back
Top Bottom