Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
ha haaaaaaa, huyo mtoto ananiburudisha kweli hapo...... na nikisoma na napoint yako ndo kabisaaaaaaaaaaa.We ukifika mbele ya darasa gonga kienglish, ukifika mahali ukiona unakwama unaingiza na lugha yako ya kinyumbani ili kuwachanganya zaidi, wakati wanafikilia ulikuwa unaongea nini mzee unakuwa tayari unamalizia. Ni maujanja tu na kuwa na uso wa mbuzi mbele za watu, Usicheke na mtu. Unaogopa nini kwani ukikosea unapelekwa mahakamani!!!!. Wewe payuka tu ili mradi uelewe unachoongea.