CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hiyo huwa ipo na wala Tatizo sio Lugha, nakumbuka nikiwa wakati nikifanya Field ya Masomo yangu nilipata NGO moja inayo fanya kazi na vikundi so tukawa tunaenda Vijijini kufanya Mikutano ya Uhamasishaji, ilikuwa kazi sana kuongea mbele ya Wanakijiji, Ila taratibu nilianza kuzoea na sasa hata kama ni watu wengi namna gani kama wale wa Mikutano ya CDM naweza ongea kabisa,
Ishu si Lugha bali huwa ni uoga uliopo miongoni mwa watu, na hii vilevile kwa Chuoni husababishwa na my be kujiona utakosea na kama mdau mmoja alivyo sema kama kuna Demu unamzimikia hapo ndo tatizo kabisa