Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
ha haaaaaaa, huyo mtoto ananiburudisha kweli hapo...... na nikisoma na napoint yako ndo kabisaaaaaaaaaaa.We ukifika mbele ya darasa gonga kienglish, ukifika mahali ukiona unakwama unaingiza na lugha yako ya kinyumbani ili kuwachanganya zaidi, wakati wanafikilia ulikuwa unaongea nini mzee unakuwa tayari unamalizia. Ni maujanja tu na kuwa na uso wa mbuzi mbele za watu, Usicheke na mtu. Unaogopa nini kwani ukikosea unapelekwa mahakamani!!!!. Wewe payuka tu ili mradi uelewe unachoongea.
piga ndumu za kutosha........
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza Mzumbe, kama mjuavyo chuoni kuna presentation za hapa na pale. Tatizo linalonikabili ni kushindwa kabisa kuongea ninapofika pale mbele ya darasa, nasika kutetemeka, roho inakwenda mbio sana,midomo inakauka kabisa yaani naskia kuanguka.
Nimejaribu kufata jinsi wenzangu wanavyonishauri ili niweze kushinda hali hiyo ila nimeshindwa kabisa hivyo naongea kidogo tu nashindwa kabisa kuendelea kwani sauti inatoweka kabisa nashindwa kuongea. Naskia uchungu kuona wenzangu wanavyoongea vizuri mbele ya darasa lakini mi nashindwa kabisa.Kwa mwanafunzi yeyote atakayekuwa yuko na mimi kozi moja na darasa moja hope atakuwa amenijua hivyo naomba pia anipe ushauri kama bado hajawahi kunipa tukiwa group discussion.
Mwisho wanaJF wote natumai mtanipa ushauri utakaoweza kunisaidia.

mi msichana nina miaka 25. usishangae kuona umri wangu mkubwa na bado niko first year,,,nilipata na matatizo ya kifamilia,mambo ya ada yalizingua then nilipopata mfadhili nikaendelea,,,,kwa sasa naishi kwa mkopo.....
ha haaaaaaa, huyo mtoto ananiburudisha kweli hapo...... na nikisoma na napoint yako ndo kabisaaaaaaaaaaa.
We ukifika mbele ya darasa gonga kienglish, ukifika mahali ukiona unakwama unaingiza na lugha yako ya kinyumbani ili kuwachanganya zaidi, wakati wanafikilia ulikuwa unaongea nini mzee unakuwa tayari unamalizia. Ni maujanja tu na kuwa na uso wa mbuzi mbele za watu, Usicheke na mtu. Unaogopa nini kwani ukikosea unapelekwa mahakamani!!!!. Wewe payuka tu ili mradi uelewe unachoongea.
jf is the best place 2 be.