Nipo Dar, biashara ipi inalipa kati ya kukaanga miguu ya kuku na kukaanga mihogo?

Mkuu kwanza nitangulize shukrani 🤝
Nimependa mawazo Yako

Shida ni kupata sehemu kama ulivosema hata stend naona kama sehemu zimewahiwa japo sijafanya survey ya stend
Kupata sehemu sahihi ni ushawishi na utafiti. Kwani chuo ulienda kuvaa vitambulisho tu? Si ndio kazi ya elimu yako hiyo.
Ujue hapa nimekuambia kwa uzoefu wangu kama mteja, mimi ni mnunuaji mzuri wa mihogo ya kukaanga, kuku choma, chapati na kitimoto. So hapa nakwambia kwa observation.

Ndio maana nataka muanze wawili na uwe na expansion plan tangu mwanzo. Kwa kuanzia ni hivyo, usilete uzembe eti kupata eneo kazi. Unahitaji kata 7m² tu zilizo wazi
 
Njoo nkupe location tufanye biashara ya chips kwa uhakika, nazn after 3/5 years tutakuw tumepga Hatua.
General ni KIBAHa chodo fuln hv
 
Sawa nimekuelewa
 
Zote zinafaida. Lakini angalia mtaji wako unatosha vizuri kwa biashara ipi kati ya hizo mbili. Pia chunguza hiyo location ina Wafanyabiashara wanagapi wa hizo biashara? ( hapa na maanisha kuepuka competition)
 
Kwanini usije Lindi huku tulime kwanza alafu urudi badae mtaji uuongeze
 
Au unaniona nimevaa kanzu unajua naswali kweli?
Sasa mkuu wewe ndo hujaielewa mada yangu
Mada yangu ina Option ya biashara mbili mihongo na kuku
Sasa wewe mkuu umeenda mbali sana et nijifunze kushona? Hujawaza ada ya kujifunza kushona inatoka wapi?
Hujawaza wakati najifunza kushona ntakuwa na afford vipi basic needs kipindi chote hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…