Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Unajiona wapi ndan ya miaka 7 mbele kwenye mihogo iliyokaangwa?
Kama hujaelewa mada s lazima uchangie mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujaelewa mada s lazima uchangie mkuu
Unajiona wapi ndan ya miaka 7 mbele kwenye mihogo iliyokaangwa?
Kupata sehemu sahihi ni ushawishi na utafiti. Kwani chuo ulienda kuvaa vitambulisho tu? Si ndio kazi ya elimu yako hiyo.Mkuu kwanza nitangulize shukrani 🤝
Nimependa mawazo Yako
Shida ni kupata sehemu kama ulivosema hata stend naona kama sehemu zimewahiwa japo sijafanya survey ya stend
Kibaha mbali mkuuNjoo nkupe location tufanye biashara ya chips kwa uhakika, nazn after 3/5 years tutakuw tumepga Hatua.
General ni KIBAHa chodo fuln hv
Mbali na wapi kk?Kibaha mbali mkuu
Sawa nimekuelewaKupata sehemu sahihi ni ushawishi na utafiti. Kwani chuo ulienda kuvaa vitambulisho tu? Si ndio kazi ya elimu yako hiyo.
Ujue hapa nimekuambia kwa uzoefu wangu kama mteja, mimi ni mnunuaji mzuri wa mihogo ya kukaanga, kuku choma, chapati na kitimoto. So hapa nakwambia kwa observation.
Ndio maana nataka muanze wawili na uwe na expansion plan tangu mwanzo. Kwa kuanzia ni hivyo, usilete uzembe eti kupata eneo kazi. Unahitaji kata 7m² tu zilizo wazi
Mm sitakiNatak tufanye shared business
Na darMbali na wapi kk?
OkayMm sitaki
Au unaniona nimevaa kanzu unajua naswali kweli?
SijakuelewaAu unaniona nimevaa kanzu unajua naswali kweli?
Bwana wee alafu tunategemea kuwa donor country wakati tunawaza survival mode business.Na hawa ndo wasomi wetu, inasikitisha sana.
Zote zinafaida. Lakini angalia mtaji wako unatosha vizuri kwa biashara ipi kati ya hizo mbili. Pia chunguza hiyo location ina Wafanyabiashara wanagapi wa hizo biashara? ( hapa na maanisha kuepuka competition)Wakuu nimemaliza chuo mwaka huu hata joho bado sijavaaa yaani Sitaki kuwa kama graduates wengine kuendekeza aibu au kuwa na yale mawazo ya watu watanionaje hapana.
Yaani bila kupoteza muda hapa Nnina wazo la biashara mbili. Biashara ya kwanza nataka nianze kukaanga mihogo.
Nyingine nataka nianze kukaanga kuku/miguu ya kuku/vichwa vyake n.k.
Biashara ipi kati ya hiyo inafaa zaidi?
Naomba mwongozo wa hizo biashara maana mimi sijawahi kufanya biashara ya aina yoyote.
Nipo Da
Kwanini usije Lindi huku tulime kwanza alafu urudi badae mtaji uuongezeWakuu nimemaliza chuo mwaka huu hata joho bado sijavaaa yaani Sitaki kuwa kama graduates wengine kuendekeza aibu au kuwa na yale mawazo ya watu watanionaje hapana.
Yaani bila kupoteza muda hapa Nnina wazo la biashara mbili. Biashara ya kwanza nataka nianze kukaanga mihogo.
Nyingine nataka nianze kukaanga kuku/miguu ya kuku/vichwa vyake n.k.
Biashara ipi kati ya hiyo inafaa zaidi?
Naomba mwongozo wa hizo biashara maana mimi sijawahi kufanya biashara ya aina yoyote.
Nipo Dar Buguruni.
Sasa mkuu wewe ndo hujaielewa mada yanguAu unaniona nimevaa kanzu unajua naswali kweli?