- Thread starter
- #121
Thanks homieKabisa Mkuu, All the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks homieKabisa Mkuu, All the best
Hua tunatumia mfumo wa posho baada ya kufunga kazi, Kwa mfano kila siku akianza na kijana mmoja walau akiwa anampa 5000 kila baada ya kufunga kazi sio mbaya na baadae ataongeza mwingine Kwa ajili ya kurahisisha kazi pale itapokua biashara imekua, Hata makabati anaweza asimudu alminium akatengeneza ya kioo lakini pembeni mbao Kwa kuanziaWe si unaona mleta mada ndio anaanza kujitafuta SA vijana atawalipa Nini!
Mtaani kwako ulishaona muuza miogo au miguu kaajiri "vijana"!?Unaweza niambia kilichokufurahisha hata na mm napenda kufurahi😁
Nimejikwaa kidogo mkuu ulikuwa utani tuMbona umeanza matusi, content ya jamaa ilikua kuonesha ubovu wa elimu yetu inavowapotezea watu muda, elimu yetu huwafanya watu wawe waoga, ndio maana mtu uliemaliza nae darasa la saba akaishia hapo Kwa sasa kajenga na anafamilia, ili hali aliefika chuo kikuu hana hata mtoto na girlfriend wake kamkimbia labda akipata kazi ndio atarudi
mkuu Kuna vijana Wana lipwa 3000 saidia chipsi, so hata yeye ana weza tafuta wa hivyo.Hua tunatumia mfumo wa posho baada ya kufunga kazi, Kwa mfano kila siku akianza na kijana mmoja walau akiwa anampa 5000 kila baada ya kufunga kazi sio mbaya na baadae ataongeza mwingine Kwa ajili ya kurahisisha kazi pale itapokua biashara imekua, Hata makabati anaweza asimudu alminium akatengeneza ya kioo lakini pembeni mbao Kwa kuanzia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Na hawa ndo wasomi wetu, inasikitisha sana.
Kweli kabisamkuu Kuna vijana Wana lipwa 3000 saidia chipsi, so hata yeye ana weza tafuta wa hivyo.
Ndio baadhi ya wauza mihongo wanakuwa na msaidizi Mmoja tu ila sio necessaryMtaani kwako ulishaona muuza miogo au miguu kaajiri "vijana"!?
Hizi ni biashara za kuanzia ambazo ni ngumu sana kuweka vijana
Mchangia hoja kawaza pakubwa sana
Anyway furaha hutegemea na mtu
Hapa location iwe Kali sana labda coco beach anyway ni ushauri mzuriHua tunatumia mfumo wa posho baada ya kufunga kazi, Kwa mfano kila siku akianza na kijana mmoja walau akiwa anampa 5000 kila baada ya kufunga kazi sio mbaya na baadae ataongeza mwingine Kwa ajili ya kurahisisha kazi pale itapokua biashara imekua, Hata makabati anaweza asimudu alminium akatengeneza ya kioo lakini pembeni mbao Kwa kuanzia
Yah kuku na chips msaidizi ni lazima ila mihogo labda kule Coco ila wengi hufanya wenyewe na wale wa miguu ya kukuNdio baadhi ya wauza mihongo wanakuwa na msaidizi Mmoja tu ila sio necessary
Hata wauza kuku naonaga wapo zaidi ya Mmoja
Location ni kwanza sehemu ambayo wamepanga wanachuo wengi au eneo lenye mabachela wengi hapo atawanasa na kufahamu aina ya wateja wake huwezi kupeleka miguu ya kuku obey, ukauza,Hapa location iwe Kali sana labda coco beach anyway ni ushauri mzuri
Hapa nitafute tu dalali ndo ntapata location nzuri ila Mimi nimeshindwa naona sehemu zote nazopita zina watu aiseeYah kuku na chips msaidizi ni lazima ila mihogo labda kule Coco ila wengi hufanya wenyewe na wale wa miguu ya kuku
Tupe mkuuIdea tatu za bonus Kwa mjini nazitoa sio muda mrefu
Dalali tena rafiki??, uliona sehemu haina watu ujue pame lala mno.Hapa nitafute tu dalali ndo ntapata location nzuri ila Mimi nimeshindwa naona sehemu zote nazopita zina watu aisee
Sababu ni msomi nadhani atafanya kisomi na kufanikiwaLocation ni kwanza sehemu ambayo wamepanga wanachuo wengi au eneo lenye mabachela wengi hapo atawanasa na kufahamu aina ya wateja wake huwezi kupeleka miguu ya kuku obey, ukauza,
Hizo biashara hua zinapesa sana sema watu huzidharau bila ya kujuaSababu ni msomi nadhani atafanya kisomi na kufanikiwa
Yah ukipata location nzuri na ukajua mapishi zinalipa vizuri wateja wakubwa ni wanafunzi na watu wa mtaani ila kikubwa huwa hazibebwi na usafi sana Bali mapishiHizo biashara hua zinapesa sana sema watu huzidharau bila ya kujua
mapishi yaani kule juu nilisema taste Kwa mfano mihogo anamenya, anachemsha inakua laini halafu atie kwenye mafuta, kwenye miguu ya kuku na mazaga yote kule taste pia na viungoviungo ili bando zile ziwe na ladha safi, location anaweza kuwaza mbezi louis upande wa daladala, riverside, buguruni darajani, uhasibu mitaa hiyo, zakheim hadi rangi tatu, chamazi na mbande mwisho, maili moja kibaha, kimara darajani hadi korogwe, anaweza suvey barabara ya korogwe pale kama unaenda maji chumvi, hadi kutokea external, akivuka pale barabara aangalie mabibo imekaaje aangalie kigogo ruhanga huko, akizunguka huko atajua wapi aweke kambiYah ukipata location nzuri na ukajua mapishi zinalipa vizuri wateja wakubwa ni wanafunzi na watu wa mtaani ila kikubwa huwa hazibebwi na usafi sana Bali mapishi
Hapa mtaani Kuna mama ye ameweka vizuri kwenye dell na kameza kazuri mwenzake anauzia jikoni na kwenye karai lake na watu wanakaa wanangoja
Unakuta biashara za namna hiyo zipo nyingi sasaDalali tena rafiki??, uliona sehemu haina watu ujue pame lala mno.
we fungua sehemu Kisha boresha huduma tu, mihogo upige rangi ya njano.