Usituangushe kwenye habari pichaNiseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.
Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.
Lissu anakubalika aisee!
Sasa hata tukio bado ukathibitisha wewe unakimbilia kusema uongo? Kinakuuma nini?Uongo unakusaidia Nini?
Mrema aliundwa na CCM Lissu kaletwa na Mungu.Hayo mafuriko ya zigi zaga?
1995 Mrema alikuwa anabebwa juu ko juu na wafuasi wake lakini kilichomkuta....?!!!
Nashukuru bwashee!......mi nitakuwa Dodoma hotel kwenye dinner ya ACT wazalendo!Ukimaliza kuoga uje upate mvinyo La cruzi!
Tuliza kishuzi dada mkubwaUongo unakusaidia Nini?
Mh! kwahiyo watu kuwa wengi DDM ni sababu ya sikukuu! Haya umepatiaNiko hapa migoli nakuja huko Dom town........kesho ni sikukuu!
Kile kibanda chako kimechomwa motoHahahaaaa...... Nitaoga nikifika Nkuhungu bwashee.
Mambo ni mengi muda mchache!
Hivi we YEHODAYA kwa Nini unamchukia Lissu alikukosea Nini?Uongo unakusaidia Nini?
Kama watu walewale wanasafiri toka mikoa mingine kumsindikiza kila aendako, haitampa picha halisi ya walio tayari kumpigia kura ni wangapi.Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.
Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.
Lissu anakubalika aisee!
..Hayo mafuriko ya zigi zaga?
1995 Mrema alikuwa anabebwa juu ko juu na wafuasi wake lakini kilichomkuta....?!!!
Anakubalika kwa watu wajinga.Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.
Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.
Lissu anakubalika aisee!
Kukoseshwa kujaza form?Mtego wa Tume ni kukoseshwa kujaza fomu!!!!!!Lisu awe makini kabisa!!!
Aliibiwa kura?Hayo mafuriko ya zigi zaga?
1995 Mrema alikuwa anabebwa juu ko juu na wafuasi wake lakini kilichomkuta....?!!!
Duh...!.