Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Hilo swali muulize Bashiru AllyUongo unakusaidia Nini?
Mataga vipi ? Sgr na stiglers mmeanza kuzitosa taratiibuPale mtu unapoamua kuidanganya hata nafsi yako mwenyewe
Alishindwa tu kihalali kabisa na Ben Mkapa!Aliibiwa kura?
You are westing your time big time.....Niseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.
Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.
Lissu anakubalika aisee!
Ada ya mja hunena muungwana ni vitendoNiseme tu kwakweli Lissu anakubalika, imagine watu tumejikuta tuuuu tunatoka makwetu kuja kumsindikiza Lissu na tumejikuta kuijaza Dodoma.
Sasa basi, ili kupunguza panic itabidi tugawanyike ili kule waende baadhi yetu ambao nao watakuwa wengi kuliko kawaida. Msafara mkubwa unatarajiwa kutua pale NEC makao makuu kama ilivyopangwa.
Lissu anakubalika aisee!
Wametangulia na baskeli ya barafu hao...Hawezi kufika mafuriko ya Lowasa..,......lakini matokeo wote tuliyaona
2015 Niliona mafuriko ya CCM pale furahisha wamama na makada wameletwa na Magari ya Coca na ma-bus ya Zakaria halafu jioni magari hayo yakazingua kuja kuwachukua,aisee usiku ule ule wale wamama/wabibi walikua wamesambaa mji mzima wanazurula tu huku wadau wanawacheka balaa wakisema hawakujua wale jamaa ni wasanii sana.Kama watu walewale wanasafiri toka mikoa mingine kumsindikiza kila aendako, haitampa picha halisi ya walio tayari kumpigia kura ni wangapi.
Yasifanyike makosa yale yale yaa 2015 mafuriko kila kona, kumbe watu wanasafiri kama hivi.
Hii shughuli wangeachiwa wakereketwa wa Dodoma, ili aone wafuasi halisi waliopo Dodoma na kazi kiasi gani inahitajika mkoa huo.
Ni maoni yangu tu.
Tuliomchinja 2015 ndo tunaenda kumchinja tena 2020, vichinjio bado tunavyoJe ni wangapi mmejiandikisha kupiga kura?
Magufuli angeanza kufungasha mizigo yake ikulu imeisha hiyo
Ccm Ni chama Cha wahuni2015 Niliona mafuriko ya CCM pale furahisha wamama na makada wameletwa na Magari ya Coca na ma-bus ya Zakaria halafu jioni magari hayo yakazingua kuja kuwachukua,aisee usiku ule ule wale wamama/wabibi walikua wamesambaa mji mzima wanazurula tu huku wadau wanawacheka balaa wakisema hawakujua wale jamaa ni wasanii sana.
Sijui walifikaje makwao huko Misungwi na wilaya nyingine walikotolewa siku ile.
Magufuli tano.Mataga vipi ? Sgr na stiglers mmeanza kuzitosa taratiibu
Ulikuwa hujazaliwa we dogo, hapa dar tulirudia uchaguzi wiki ya pili, mrema alishinda muulize mzee mgaya alikuwepoAlishindwa tu kihalali kabisa na Ben Mkapa!
Mtakufanyie mataga mi mbona Niko jikoni, sema tu nataka mabadilikoMagufuli tano.
Hutaki kufa
Hahah daah.Ccm Ni chama Cha wahuni
Je ni wangapi mmejiandikisha kupiga kura?
BINAFSI 2015 mafuriko ya mamvi yalinipa confidence sana ya kujigamba mtaani, maana niliona mafuriko kila kona kuzidi CCM.2015 Niliona mafuriko ya CCM pale furahisha wamama na makada wameletwa na Magari ya Coca na ma-bus ya Zakaria halafu jioni magari hayo yakazingua kuja kuwachukua,aisee usiku ule ule wale wamama/wabibi walikua wamesambaa mji mzima wanazurula tu huku wadau wanawacheka balaa wakisema hawakujua wale jamaa ni wasanii sana.
Sijui walifikaje makwao huko Misungwi na wilaya nyingine walikotolewa siku ile.
Habari ya uongo, picha atapata wapi?Usituangushe kwenye habari picha