Nipo Dodoma: Itabidi tugawanyike makundi ili waende wachache ili kupunguza mihemko kutoka kule! Dodoma kumefurika!

Lisu hatapata hata 20% ya kura na hakuna lolote mtafanya kwakuwa atakuwa ameahindwa kihalali kabisa!

Lisu hana mtaji mwingine wowote wa watu nje ya chama chake.

Narudia Lisu hata pata hata asilimia 20 ya kura. Kama unabisha tubet

Hata akipata kura moja kwetu ni poa tu, ila tunataka kila mtu ashinde kihalali. Hivyo jiandae kuona ambacho hujakitegemea.
 
Mbona mna kiherehere. Kampeni hazijaanza, sasa mnataka nini kujazana Dodoma kwenye zoezi la kuchukua fomu. Kwa nini msifanye kama alivyofanya JPM. Msafara wa kwenda kuchukua fomu haukuzidi watu 10. Baada ya hapo akaenda kufanya mkutano wa ndani kwenye ukumbi wao wa white house ambao ulihudhuriwa na watu wasiozidi 200. Mkutano huo ulidumu kwa muda usiozidi saa moja. Hauku disrupt shughuli yeyote ya mwana dodoma.

Please try to be civilized. Mfuate sheria, taratibu na kanuni za zoezi zima la kuelekea uchaguzi mkuu. Muache tabia za uhuni. Mjiepushe kuvichokoza vyombo vyetu vya usalama.
 
Hata akipata kura moja kwetu ni poa tu, ila tunataka kila mtu ashinde kihalali. Hivyo jiandae kuona ambacho hujakitegemea.
Hamna kitu mkuu! U know it!

Angalau zile harakati zako za kutopiga kura hadi tume huru ya uchaguzi ipatikane zilikuwa na maana! Lakini inavyoonesha hata we umeahabebwa na upepo wa Lisu.

Baada ya oktoba thread zitakazo tawala humu ni kuibiwa kura basi, imeisha hiyo hadi 2025
 
Hayo mafuriko ya zigi zaga?

1995 Mrema alikuwa anabebwa juu ko juu na wafuasi wake lakini kilichomkuta....?!!!
Hii ndioshida ya ma ccm mnaishi kwa kukalili yaan unatuletea mifano mfu! Unaongelea 1995 ujiulizi wakati huo nchi ilikuwa na watu wangapi laki pia unatakiwa ujiulize uwelewa wa watu kuhusu maswala ya siasa kwa wakati ule na leo hii 2020
 
Kule kuchukua form aende na viongozi wachache. Kwani hamna Office za Chadema hapo Dodoma ?Mlitakiwa mfanye kama walivyofanya CCM.Mkiandamana wote kwenda NEC mtafutiwa Chama.
 
Lowassa aliwaachia cdm kiki kubwa sana. Sitegemei lissu kuifikia ile kiki hata kwa mbali. Narudia act wazalendo ndio ataenda kua chama kikuu cha upinzani baada ya huu uchaguzi. Na hata act atapitia zanzibar sio bara .
Siyo habari ya Lowassa ,Watu washachoka na CCM.
 
Meko hana chake mara hii. Tunamtaka Rais mwenye uwezo wa kujieleza kwa Kiswahili na Kiingereza.
Siyo yule ambaye hata Kiswahili kinampiga chenga. Hela anaita "Hera"
 
Hii ndioshida ya ma ccm mnaishi kwa kukalili yaan unatuletea mifano mfu! Unaongelea 1995 ujiulizi wakati huo nchi ilikuwa na watu wangapi laki pia unatakiwa ujiulize uwelewa wa watu kuhusu maswala ya siasa kwa wakati ule na leo hii 2020
Samahani, una umri gani? Huenda hujui unachokipost hapa!
 
Magufuli angeanza kufungasha mizigo yake ikulu imeisha hiyo
Kaka mbona tayari! Hata sherehe za kuaga (send off) alishaifanya kwa kualika wanaccm was mkutano mkuu Chamwino wakala na kunywa hadi chupa za Wine wakaambiwa waondoke nazo.
Ile ilikuwa sherehe za kuaga Ikulu kistaarabu, na kabla wakagawana tausi.
 
Hii ndioshida ya ma ccm mnaishi kwa kukalili yaan unatuletea mifano mfu! Unaongelea 1995 ujiulizi wakati huo nchi ilikuwa na watu wangapi laki pia unatakiwa ujiulize uwelewa wa watu kuhusu maswala ya siasa kwa wakati ule na leo hii 2020
1995 watu walikuwa na uelewa mkubwa wa kisiasa kuliko leo na ndio maana wapinzani waliweza kushinda ubunge katika chaguzi ndogo lakini leo hamuwezi!
 
Nisaidieni, hivi mleta mada amekosa kweli kuambatanisha picha ya kufurika makamanda!?
 
1995 watu walikuwa na uelewa mkubwa wa kisiasa kuliko leo na ndio maana wapinzani waliweza kushinda ubunge katika chaguzi ndogo lakini leo hamuwezi!
Yohana una tatizo gani? Mbona kila siku iendayo mbele wewe weledi unarudi nyuma?
 
Kule kuchukua form aende na viongozi wachache. Kwani hamna Office za Chadema hapo Dodoma ?Mlitakiwa mfanye kama walivyofanya CCM.Mkiandamana wote kwenda NEC mtafutiwa Chama.
Wataenda baadhi yetu my dear
 
1995 watu walikuwa na uelewa mkubwa wa kisiasa kuliko leo na ndio maana wapinzani waliweza kushinda ubunge katika chaguzi ndogo lakini leo hamuwezi!
Ni wabunge wangapi wa upinzani walioshinda uchaguzi 1995 kisha linganisha na uchaguzi wa2010 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…