NIPO DUBAI πŸ‡¦πŸ‡ͺ β€” Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine

Hizo simu used hapana yaani simu unainunua pesa kubwa afu ukiweka laini inajireboot inajiwqsha tena afu tena inajizima tena inajiwasha mamaeukiwasha data completely shutdown πŸ˜‚
Mimi niliagiziwa ultra 24 siku ya kwanza tu kuichaji ilipasukapasuka nyufa kibao na ilikuwa inachemka kama pasi.Mbona niliitupa.
 
Kuna uzi nishawahi kuandika kuhusu hizi simu za dubai hapa hio simu nyingi ni copy afu zimewekewa vifaa fakefake πŸ˜‚
Ni matakataka sasa hivi mimi kununua simu ni mpya tena naenda dukani mwenyewe,sitaki kusikia cha used ,refurbish au mpya mpaka nifike dukani mwenyewe.Mara mia ununue Alhaj Tekno kuliko hayo maused .
 
Kama products utakua ni return!! Itakuwaje sasa?

Ni used au refurbished??
Mzigo baada ya mda gani
 
Ni matakataka sasa hivi mimi kununua simu ni mpya tena naenda dukani mwenyewe,sitaki kusikia cha used ,refurbish au mpya mpaka nifike dukani mwenyewe.Mara mia ununue Alhaj Tekno kuliko hayo maused .
Ni takataka za chooni wale wahuni hakuna wanachojua zaidi ya maneno maneno Tu ya uongo uongo, na wanajiamini balaa.

Unalipa pesa yako ndefu kumbe washenzi wanakuuzia simu mbovu wakifanya eti Full Box from DubaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…