THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Habari za wakat huu mwanaJF.
Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii nahisi leo imekua siku ya somo kubwa sana katika kuelewa siasa za mapambano ambazo Lissu amekua nazo kwa zaid ya miaka 20.
Sasa basi Leo katika kuendelea kutoa utetezi wake, Jabali la Siasa Lissu ameonyesha historia yake ya namna amekua mstari wa mbele kupigania haki za watanzania, na katika mapigano hayo ameweza kutuonyesha ni shida zipi amekumbana nazo ambazo zimeenda mbali hadi kupelekea majaribio ya kutoa UHAI wake.
Sasa katika kujitetea kwake Lissu leo kaonyesha ni kwa namna gani CCM imeharibu mifumo ya Nchi hii,
Na kote huko akaonyesha ni kwa kiwango gani amepigana kuona kunafanyika mabadiliko..
Na yeye katika kupigana huko Lissu akatuambia na kutuonyesha kua yale anayoyapigania hajayaanzisha yeye bali yamesemwa na kufanyia tafti na kuandikwa kwenye Ripoti mbalimbali na wana ccm wakubwa tu walio wahi kupewa mamlaka ya kukusanya maoni kutoka kwa Umma.
Lakin gafla kumeibuka kundi la watu walioona kua Lissu kusema au kuonyesha hayo yote ni kutafta Huruma ya Umma/Jamii..
Sasa nipo hapa kuwajibu kua..Binadamu hua anatabia moja ambayo inamtofautisha na viumbe wengine.
Sifa hio kuu ni RE-THINKING..binadamu anatabia ya kuwaza mambo aliyoyafanya na kuanza kujifanyia tathmini either ilikua kauli au matendo..
Sasa wale waliooto zile kauli za Lissu anatafta Huruma ni wamefanya RETHINKING wamewaza kabisa...wale mwanzo walimuona Lissu ni Mhaini kweli kweli na walikua wanaunga Mkono hoja ya kunyongwa,
Ila kwa yale alliyoanza kuyasema na kuyaelezea kuonyesha ni namna gani serikali ya Ccm ipo nyuma ya jii michezo yote wamejuta ila wameshindwa kukiri majuto yao..inshort Lissu kawafunulia kila kitu.
Sasa hii ndio ukivuliwa nguo Chutama sasa wanachokifanya now nikupambana kuchutama kwa njia ya kusema Lissu anatafta Kuonewa huruma na umma.
ISsu yetu sisi ni moja aliyoyasema Lissu mnakubaliana nayo au mnayakataa??
Hamuwez kukataa because yapo na leo yamesemwa na kuonyeshwa kwa evidence.

Mifumo kama Ya Utoaji haki
Mifumo ya Ulinzi na Usalama [jeshi, na taasis zingine za usalama]
Mifumo ya Uchaguzi
Mifumo ya utawala hapa nazungumzia Utawala kuanzia ngazi ya kijiji hadi Taifa.