THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Mifumo kama Ya Utoaji haki
Mifumo ya Ulinzi na Usalama [jeshi, na taasis zingine za usalama]
Mifumo ya Uchaguzi
Mifumo ya utawala hapa nazungumzia Utawala kuanzia ngazi ya kijiji hadi Taifa.
Kuna watu hadi wameanzisha nyuzi huko kusema jamaa anatafuta hurumaKuna mtu anafikiri Lissu anatafuta huruma ya Umma?
Lissu amefanya kilichotakiwa kufanywa, amefanya right thing at right time, ameweka records sawasawa, hakuna uongo katika aliyosema tukumbuke yuko chini ya kiapo.
Ningetamani kujua ni kwa kiwango gani utetezi wake leo unaweza kuishawishi mahakama dhidi ya mashtaka yaliyo mbele yake. Vinginevyo inaweza kuwa historia tamu ya kufurahisha isiyo na msaada sana kupangua mashtaka.Kuna mtu anafikiri Lissu anatafuta huruma ya Umma?
Lissu amefanya kilichotakiwa kufanywa, amefanya right thing at right time, ameweka records sawasawa, hakuna uongo katika aliyosema tukumbuke yuko chini ya kiapo.
Huwez kuyapangua mashitaka yakupangwa...watu ambao hawakuangalia uzito wa ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka kutambua kua una hatia na kesi ya kujibu unaweza vipi kuwapa ushahidi utakao washawishi?Ningetamani kujua ni kwa kiwango gani utetezi wake leo unaweza kuishawishi mahakama dhidi ya mashtaka yaliyo mbele yake. Vinginevyo inaweza kuwa historia tamu ya kufurahisha isiyo na msaada sana kupangua mashtaka.
Wewe huwezi kujua lkn umma umeshajua kiwango Cha utetezi wake.Ningetamani kujua ni kwa kiwango gani utetezi wake leo unaweza kuishawishi mahakama dhidi ya mashtaka yaliyo mbele yake. Vinginevyo inaweza kuwa historia tamu ya kufurahisha isiyo na msaada sana kupangua mashtaka.
Katika uzi wa updates mahakamani wa leo umeanzishwa na Manyanza Hili swali limejibiwa kwa urefu na mtaalamu Chivundu na wengineo.Ningetamani kujua ni kwa kiwango gani utetezi wake leo unaweza kuishawishi mahakama dhidi ya mashtaka yaliyo mbele yake. Vinginevyo inaweza kuwa historia tamu ya kufurahisha isiyo na msaada sana kupangua mashtaka.
Sikia mkuu hata wewe una historia yako kulingana na nafasi ulokuwa nayo. Kila mmoja wetu ana historia yake hatuwezi sote kuwa tulikuwa Mawakili. Historia yako haiondoi kosa utakalofanya especial ikiwa mara nyingi umeendelea kuyafanya.Habar za wakat huu mwana Jf.
Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii nahisi leo imekua siku ya somo kubwa sana katika kuelewa siasa za mapambano ambazo Lissu amekua nazo kwa zaid ya miaka 20.
Sasa basi Leo katika kuendelea kutoa utetezi wake, Jabali la Siasa Lissu ameonyesha historia yake ya namna amekua mstari wa mbele kupigania haki za watanzania, na katika mapigano hayo ameweza kutuonyesha ni shida zipi amekumbana nazo ambazo zimeenda mbali hadi kupelekea majaribio ya kutoa UHAI wake.
Sasa katika kujitetea kwake Lissu leo kaonyesha ni kwa namna gani CCM imeharibu mifumo ya Nchi hii,
Na kote huko akaonyesha ni kwa kiwango gani amepigana kuona kunafanyika mabadiliko..
Na yeye katika kupigana huko Lissu akatuambia na kutuonyesha kua yale anayoyapigania hajayaanzisha yeye bali yamesemwa na kufanyia tafti na kuandikwa kwenye Ripoti mbalimbali na wana ccm wakubwa tu walio wahi kupewa mamlaka ya kukusanya maoni kutoka kwa Umma.
Lakin gafla kumeibuka kundi la watu walioona kua Lissu kusema au kuonyesha hayo yote ni kutafta Huruma ya Umma/Jamii..
Sasa nipo hapa kuwajibu kua..Binadamu hua anatabia moja ambayo inamtofautisha na viumbe wengine.
Sifa hio kuu ni RE-THINKING..binadamu anatabia ya kuwaza mambo aliyoyafanya na kuanza kujifanyia tathmini either ilikua kauli au matendo..
Sasa wale waliooto zile kauli za Lissu anatafta Huruma ni wamefanya RETHINKING wamewaza kabisa...wale mwanzo walimuona Lissu ni Mhaini kweli kweli na walikua wanaunga Mkono hoja ya kunyongwa,
Ila kwa yale alliyoanza kuyasema na kuyaelezea kuonyesha ni namna gani serikali ya Ccm ipo nyuma ya jii michezo yote wamejuta ila wameshindwa kukiri majuto yao..inshort Lissu kawafunulia kila kitu.
Sasa hii ndio ukivuliwa nguo Chutama sasa wanachokifanya now nikupambana kuchutama kwa njia ya kusema Lissu anatafta Kuonewa huruma na umma.
ISsu yetu sisi ni moja aliyoyasema Lissu mnakubaliana nayo au mnayakataa??
Hamuwez kukataa because yapo na leo yamesemwa na kuonyeshwa kwa evidence.
Unaamini kwenye ili shitaka la Lissu, MAHAKAMA inafanya kazi yake??Sikia mkuu hata wewe una historia yako kulingana na nafasi ulokuwa nayo. Kila mmoja wetu ana historia yake hatuwezi sote kuwa tulikuwa Mawakili. Historia yako haiondoi kosa utakalofanya especial ikiwa mara nyingi umeendelea kuyafanya.
Kifupi, Tundu Lissu anapitia wakati mgumu sana kwa mashtaka haya, kule alikotoa hata mitume wa Mungu pamoja na utukufu wao, lkn mtazamo wa upande wa pili walikosa na wakaadhibiwa (Jeremiah, Ezekiel n.k)
Acheni Mahakama ifanye kazi yake badala ya kujaribu kuununua Umma. Unachofanya hapa ni kutafuta sympathy vile vile.
Oky sawasawa jibu swali la mwisho aliyoyonyesha Lissu yapo hayapo?Sikia mkuu hata wewe una historia yako kulingana na nafasi ulokuwa nayo. Kila mmoja wetu ana historia yake hatuwezi sote kuwa tulikuwa Mawakili. Historia yako haiondoi kosa utakalofanya especial ikiwa mara nyingi umeendelea kuyafanya.
Kifupi, Tundu Lissu anapitia wakati mgumu sana kwa mashtaka haya, kule alikotoa hata mitume wa Mungu pamoja na utukufu wao, lkn mtazamo wa upande wa pili walikosa na wakaadhibiwa (Jeremiah, Ezekiel n.k)
Acheni Mahakama ifanye kazi yake badala ya kujaribu kuununua Umma. Unachofanya hapa ni kutafuta sympathy vile vile.
Kwani kazi ya mahakama ni ipi?Unaamini kwenye ili shitaka la Lissu, MAHAKAMA inafanya kazi yake??
Mimi sio Mahakama wala Jaji, mtazamo wangu na Sheria ni vitu viwili tofauti. Naachia wenye taaluma hiyo.Oky sawasawa jibu swali la mwisho aliyoyonyesha Lissu yapo hayapo?
Na kama yapo Yupi mwenye Shida na anaetakiwa kufikishwa kwenye vyombo vya dola?
Watu mmeteka mmeumiza kisa kutaka uongozi??
Ukinijibu hapo nalala unono Mkuu.