Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Naweza kabisaa, karibu basi 😊🤝
Dah kupigwa pumbu kisa kuku choma nusu hapana.....
Ila unajua katika hali ya kawaida uwezo nila kama sijataka ....
Hata ununue kreti sijui kretii. Savana inakaa Kwa kreti?
(Sinyw)
So nikisema uninunulie alafu unile labda nimeamua.
 
Walimu wenzako tarehe kama hizi tunawaona wameanza kupiga myayo, wewe bado hujaishiwa au umevuta mkopo NMB?

Kuwa makini mwalimu fedha ya mkopo siyo ya kula kvanti na wahuni!!
Waambie walimu sio mm
 
Dah kupigwa pumbu kisa kuku choma nusu hapana.....
Ila unajua katika hali ya kawaida uwezo nila kama sijataka ....
Hata ununue kreti sijui kretii. Savana inakaa Kwa kreti?
(Sinyw)
So nikisema uninunulie alafu unile labda nimeamua.
hapana mie sina shida ya kukula bana.. tunatulia tu kama friend.. mambo ya kihuni mie sina 😊😊
 
Mlete mlete, napenda sana wageni
Huyu hapa bro Analyse, kajifaidiee 😂😂
FB_IMG_16854885764003555.jpg
 
Back
Top Bottom