Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

masai dada mie sio mwanaume wa aina hiyo, mie na heshimu sana connection, maheshimu sana utu wa mtu. Huwezi jua kesho na kesho kutwa, ni lazima tujifunze kwenye maisha ku value na kumpa thamani kila mtu unae kutana nae.. na lazima tujue kila mtu ana faida yake na umuhimu wake.. naogopa sana kuharibu aina yoyote ya connection maana sijui kesho yangu
Yeah sure ila vijana wenzako Gily na Intelligent businessman wanakataa
 
😊😊 za jioni kaka ? Bwana Yesu Afisifiwe. Familia inaendeleaje kaka mkubwa
Niko poa kabisa. Amina ndugu yangu. Familia iko poa ila mwanangu ana rushes vibaya mno, haka kachanga wageni wakija wakikibeba kanapata allergy. Sasa nataka kuzuia wagenj wasije kumuona very sad...
 
😂🤣🤣🤣 Yanipasa kukimbia vibaya mno
National Anthem
Screenshot_20230531_003217_Google.jpg
 
Niko poa kabisa. Amina ndugu yangu. Familia iko poa ila mwanangu ana rushes vibaya mno, haka kachanga wageni wakija wakikibeba kanapata allergy. Sasa nataka kuzuia wagenj wasije kumuona very sad...

Niko poa kabisa. Amina ndugu yangu. Familia iko poa ila mwanangu ana rushes vibaya mno, haka kachanga wageni wakija wakikibeba kanapata allergy. Sasa nataka kuzuia wagenj wasije kumuona very sad...
Joto la siku mbili hizi kabla ya mvua.
Pia msimgubike sana nguo nyingi lakin pia msimuache bila nguo za wastani ....atavuka hiyo steji
 
Back
Top Bottom