Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi

Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANTView attachment 2644759
HatUNYwi pombe na mgonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom