Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
nani tena huyo analeta vurugu mingi?
unatafuta BAN tena, unaiomba kwa makusudi
huyo si ndo yalimshinda kwa madame b ? So ndo amehamia kwako!
utamu lolmtt wa ungaltd
king'ang'anizi wewe looool!
MkiA,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!wa vanilla au wa nn
we chunga wako siunao??kweli bana chunga mzigo huo
nshazoea tatizo nyie wageni ndio sooban inakuita wewe!
mmmmhhhh!mgeni acha ubahili
ila toka umekuja umenenepa kuna kaukweli!
we chunga wako siunao??
unawajua wewewa ngapi?
ndoa yako imekuwa ndoano! !!!Naona vijana wana jisumbua tuuu! Mbona mnamsumbua akanana wangu Passion Lady
badi nikibadili tundu la mkanda ndio ntajua nimenenepa