inamaana hamna divorce? ?acheni hizi mambo banaHuku haturuhusu kufunga ndoa na mke wa mtu! Kajipange iupya!
inamaana hamna divorce? ?acheni hizi mambo bana
njoo unywe bia kwanza nikushawishiUtasubiri sana Embe chini ya mwarubaini!!!
njoo unywe bia kwanza nikushawishi
Rudi kwa Madame B
Kibajaji changu kimeniletea shida nipo kama nimekatwa miguu!!
nipo hapa kijana angu umepotea sana
kamanda manoah ni mimi ndugu yako nafunga harusi hapa na Passion Lady nahitaji Baraka zako kaka
kumbe kasauti kangu ndio sababu
ya yy kuniganda,nina mwenyewe!
mi nahisi labda huku kuna PL 2
unialike kwny halusi jirani lol!
utanikuta nishafika ila fanya faster!
Thanks manoahMie, baraka zote nakupa mkuu wangu, mie sitokubali umuache mrembo kama Passion Lady
samaki na majiMie na wewe ni kama bahari na maji
asante kwa kunijali shemejio
hebu muadabishe Tonykp tafadhali!