Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Last edited by a moderator:
Tumetoka mbali sana Donn
Ninakuona broda yani wewe ukiamka na shemeji wangu wa ukweli Passion Lady anaamka full kupewa burudani ya roho
hv wewe babu unanitaka nn lkn
mi najua Passion Lady hapa ndo yupo kwenye ile ''mi stakii bhana'' (huku anang'ata kucha) ukimkazia dakika 5 tu mbele umeopoa
khaaa... Hiyo name cycle yako ni Incomplete Metarmophosis arif
nakutegemea Donn
ah ah ah! Unanikumbusha mbali kusema hayo ma dude yani basi tu udaktari ulikua unanihusu ila wastani tu uka kwamisha madili
cc my Ruttashobolwa!mi najua Passion Lady hapa ndo yupo kwenye ile ''mi stakii bhana'' (huku anang'ata kucha) ukimkazia dakika 5 tu mbele umeopoa
we nitegemee tu.... Ila mi maudenda yashaanza kunitoka... Ila jana tulidiscuss vizuri sana na Passion Lady pale wenge garden huku tukipata vinywaji arif
shukuru huo wastani ulivyo kwamisha.... Maana sasa hivi ungekuwa unamalizia shift ya night kwa kucheza na madonga makubwa
mmmmmhhhh!
Wewe tena nina hakikisha upo safe sawa?
nimeona unavyomdanganya mtt wa watu kule!
punguza usanii best man!utajamsanii bwana harusi bure!
hongera sana kijana angu
utasubiri sanaAsante sana mkubwa wangu, mie nataka siku wewe na shemeji yangu wa ukweli Passion Lady mnafunga ndoa, na mie na mimisa tufunge pia