Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

namtuma manoah ambae yeye ndio atakalo liendesha hilo Bugatti akiwa pembeni yake Donn na washenga wengine kama Jiwe Linaloishi Erickb52 sis yangu mmpendwa Preta bila kumsahau Liverpool Fc

Passion Lady usikubali kwanza kamata bima ya afya ya miaka 5 kamata hati ya nyumba, Mtaji ($) then ndio gari, unaweza kuchukua gari kwanza ukakuta kalikopea kesho linakamatwa na Majembe inakula kwako mpaka kwenye kisigino.
 
Back
Top Bottom