Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

Nipo hapa na passion lady tukiendelea kula bata letu taratibu

Bina ya afya nimemuandalia tena ni first class atakua anatibiwa lile daraja la ma rais.

Hati ya nyumba ipo tena ina thamani ya £ 1.2mill.

Passion Lady usikubali kwanza kamata bima ya afya ya miaka 5 kamata hati ya nyumba, Mtaji ($) then ndio gari, unaweza kuchukua gari kwanza ukakuta kalikopea kesho linakamatwa na Majembe inakula kwako mpaka kwenye kisigino.
 
amini mkubwa, mie nikabidhi iyo kazi mkuu wangu hadi mchana kazi kwishney na mtoto atatangaza ndoa mwenyewe kwako, Passion Lady anakupenda sana mkuu

kweli nimeamini ww ni ndugu yangu! !!!nakuamini mkuu
 
Last edited by a moderator:
Tonykp ni kamanda mkuu na mie ni kamanda mdogo siwezi kukubali kamanda wangu apoteze wife kwa ajiri ya huyu mlima ndizi Ruttashobolwa

Mazao+Bora+shambani!+mkulima+wa+Kasulu+Kigoma+akielekea+sokoni+kuuza+ndizi.+5-10-2010.JPG


mkuuinaonekana kama umepokea muamalaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom