Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
safi sana maana ungeshawishika wewe!
Duh!? Nihurumie mwethio!
safi sana maana ungeshawishika wewe!
enheeee!mm pia nimejiuliza sana hilo swali
yy ndio alitakiwa akaunge tela kwa Madame B coz kuna nafasi!
amini mkubwa, mie nikabidhi iyo kazi mkuu wangu hadi mchana kazi kwishney na mtoto atatangaza ndoa mwenyewe kwako, Passion Lady anakupenda sana mkuu
hamtoboi wala nini,jipeni moyo tu
Bina ya afya nimemuandalia tena ni first class atakua anatibiwa lile daraja la ma rais.
Hati ya nyumba ipo tena ina thamani ya £ 1.2mill.
Jioni sio mbali, ndoa kati ya Tonykp na Passion Lady itatangazwa
Usiwe na shaka, kumpoteza Passion Lady ni sawa nakukubali dunia iingie katika vita isiyo na mwisho
Ayaaa! Na kuhongwa tena? Afu ndoa ya ngapi Passion Lady?
am fyn swr!uko poa habibty wanguHow are you my akanana Passion Lady?
hiyo vita ndio naitaka
atakaeshinda ndio anaoa!
tena anakua mme wa pili!
kweli kazi ya ushenga inakufaa lol!
Taratibu basi, njoo kwenye kikao huku ndani
am fyn swr!uko poa habibty wangu
nawaona wanakupiga vita sana ila mwisho wao umefika!
u ar a gud husbnd swr!
am very proud of u myn!
bby ndio cha ivo hutoniona weekend hii wallah
Usijali my Passion Lady sina haja ya kutumia nguvu nyingi kwa wapinzani!
Kwanza jina la wapinzani linawatosha kuonesha wameshindwa!
Watashindana lakini watashindwa!
Your welcome my akanana!
tena nikukute hme mida hii
ndio napanda loool!
mapendo ni mapendo mupenziBy manoah
Bina ya afya nimemuandalia tena ni first class atakua anatibiwa lile daraja la ma rais.
Hati ya nyumba ipo tena ina thamani ya £ 1.2mill.
ewaaaa @jiwe linaloishi
kama ulikuepo,hayo uliyaorodhesha ni miongoni
mwa masharti niliyowapa,hawawezi wasepe!