JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Passion Lady ni wewe peke yako na ndie unastahili kua na Tonykp
Safi kabisa, hapo mtaachana hadi kesho mda wa kwenda job, mnapenda na Tonykp hadi raha
hebu fika hapa U.K wenge Garden (Ukonga) Tupange adhabu nzuri ya kumpa huyu kijana
Kumbe unajua nilishatoka sasa kuna haja gani ya kuniambia nirudi wakti nilivyo toka na kwenda kwa akanana wangu Passion Lady hukuniambia nitoke?
kumtoa kizigo-hapana
tumpe uchizi-sio vizuri
tumhamishe mji huyu ndio itasaidia!
Kibajaji changu kimeniletea shida nipo kama nimekatwa miguu!!
Utasubiri sana Embe chini ya mwarubaini!!!
inamaana hamna divorce? ?acheni hizi mambo bana
ila kama namuonea huruma hivi Tonykp .... Hebu mfikirie mara mbili mbili jamani.... Utanisaidia sana kupunguza upinzani kule jukwaa la wazee
umekua siku hizi sina mashaka na wewe tena
kwa majibu haya!
bas tumuache apige mayowe akichoka ataacha!
Tumetoka mbali sana Donn
umekua siku hizi sina mashaka na wewe tena
kwa majibu haya!
Ndio mmeamka nini wapenzi? Yani nyie kila kona mnafatana
manoah habari ya asubuhi shehe? ???Ninakuona broda yani wewe ukiamka na shemeji wangu wa ukweli Passion Lady anaamka full kupewa burudani ya roho