Duh leo hapana umenichosha sana Leo!!mh!saa hizi kulikoni,hakutna kugambeka leo?
Mkuu Jiwe Linaloishi tutafutane Friday.
ndio nimeachiwa mchana huu mkuu
kila siku ni sikukuu. karibu home grown bhange.
cc Nicas Mtei
Ngoja tukuludishe tena kwenye server
Safari hii hamnipati kabisa
ok!siri yetu wawili!
Safari hii hamnipati kabisa
Mmmmh akanana
Mmmmh akanana
Mmmh Tonykp kubakiiii nchonkaaa
akanana akaile kona akaile akaile konaa... ah ah.. miaka ya kitambo hapo
Duh leo hapana umenichosha sana Leo!!
haha not againNdege mjanja hunasa kwenye tundu bovu
unajidai hujui siohahahaaa!na leo umechoshwa kweli saa hizi?