Nyumba ya vyumba vingapi hii
Je Imegharimu kiasi gani mpaka hapo?
Sent from my P00C using JamiiForums mobile app
Hongera kwa kumaliza hatua hii ngumu,ulitumia bati ngapi 140 kama ulivyofanyiwa makadirio au zilipungua?Naaaam, tayari mkuu.
Hapana mkuu,Hongera kwa kumaliza hatua hii ngumu,ulitumia bati ngapi 140 kama ulivyofanyiwa makadirio au zilipungua?
Mkuu, taja eneo ulipo,Ukifika kipande cha kuweka tiles nichek nikupe tiles kali..
Contact:
0744928908
View attachment 2158338
Kiongozi akikujibu naomba unitagiMkuu, taja eneo ulipo,
Size ya tiles na bei zake ili tuhamasike kufanya manunuzi kwako au vinginevyo.
Mkuu, ukisema bei za Dar, Dar kubwa sana. Kama upo mjini, nakushauri tembelea madukani wewe mwenyewe, usitafute majibu humu. Wengine wapo kwa Mtogole, wengine wapo Sinza nk. Rahisisha maisha, kama umeweza kujenga hadi hatua ya kupaua huwezi kushindwa kujua bei za hivyo vitu, mfano mbao na nondo, hivyo si umevitumia wakati unaweza LENTA!?Mkuu,
Fundi nd'o ameniandikia hivyo,
Sijapunguza wala kuongeza chochote.
Kwa kuwa huu nd'o ujenzi wangu wa kwanza,
Naomba unielimishe ambapo kuna utofauti mkubwa ili nisije kupata hasara.
Punguza misumari ya kenchi iwe 12kgWaheshimiwa,
Nipo katika ile hatua ya kuumiza kichwa,
Fundi ameniandikia vifaa vinavyohitajika,
Naomba mnijuze bei ya items namba 1 hadi 8, hasa ndugu zangu wafanya biashara wa hardware Dar.
View attachment 2123162
View attachment 2123163
Mkuu napatika chalinzeMkuu, taja eneo ulipo,
Size ya tiles na bei zake ili tuhamasike kufanya manunuzi kwako au vinginevyo.
Ahsante sana mkuu.Mkuu, ukisema bei za Dar, Dar kubwa sana. Kama upo mjini, nakushauri tembelea madukani wewe mwenyewe, usitafute majibu humu. Wengine wapo kwa Mtogole, wengine wapo Sinza nk. Rahisisha maisha, kama umeweza kujenga hadi hatua ya kupaua huwezi kushindwa kujua bei za hivyo vitu, mfano mbao na nondo, hivyo si umevitumia wakati unaweza LENTA!?
Mkuu, ulitumia bati gani na kwa gharama gani?Ahsante sana mkuu.
Tayari hatua hii imepita.
Sasa nahangaika na mambo ya wiring, blundering, plasta, skimming n.k.
Ni hizi bati za wachina, zinaitwa Sundar.
Nina uhakika soon zitapauka hizi.
Bei ni 26,500/-.
Afadhali usimamie mwenyewe mkuu.japo wakati mwingine mafundi wanaweza kukupiga nawewe ukiwa hapo hapo! mimi nilikuwa najenga na nikampa jamaa yangu anisimamie huo ujenzi..baadae majirani wale site wakamwambia mke wangu " yaani ninyi hadi mnamaliza kujenga, na huyo jamaa yenu kamaliza nyumba yake!"...ilibidi nijiongeze mkuu!Mkuu,
Kwa makisio haya uliyonipa,
Nitajitahidi kusimamia mwenyewe zoezi lote.
Hata chakula nitaagiza niletewe hapohaoi saiti.
Kuna watu pia wanasema Sundar wana bati nzuri,labda ziwe feki zinaweza kupauka haraka[emoji23][emoji23]bora ungepiga bati nyeupe tu