IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Kwani kumfungulia uzi pekee ndo kulikokupa ban? Au ulitukana ndani ya uzi huo?Habari wanajamii....
Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...
Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...
Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!
Ahsante...
Hapana sikumtusi ila members walimshukia vikali sana hadi kumdhalilisha mbele ya umma!Kwani kumfungulia uzi pekee ndo kulikokupa ban? Au ulitukana ndani ya uzi huo?
Inawezekana konda wa mabasi yanayoenda jijini johannesburg mkuuππππSamahani mkuu, Eti we ndo konda msafi??
[emoji2]Ndo ukomee nawee baba tamuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uache kuwa serious na JF kiasi hiko. Lol
Sawa..nimekoma mama tamuuuππππNdo ukomee nawee baba tamuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uache kuwa serious na JF kiasi hiko. Lol
Ni yule member mwenye vijindevu si ndio, km walikufungia kwa tabia yake bas hata mm wanifungie maana hata mm ule umama siupendiHapana sikumtusi ila members walimshukia vikali sana hadi kumdhalilisha mbele ya umma!
Huyohuyo ila amebadili avatar sasa...Na amrekebishika kidogo...πππNi yule member mwenye vijindevu si ndio, km walikufungia kwa tabia yake bas hata mm wanifungie maana hata mm ule umama siupendi
Basi tumuombee Kumbu, apumzike kwa amani. Maana alichoka kwa mazoezi yakoππInawezekana konda wa mabasi yanayoenda jijini johannesburg mkuuππππ
Dah snitch kwenye ubora wakoππkaribu sana kijana.... adui yako ye34nbe kala ban mmebadilishana π
Hahahaaa! Naona jana ukasema unaniitroduzi kwa wana wa chaputaππππ kupitia Id hii AlmightyGod nini mimi huyo...Basi tumuombee Kumbu, apumzike kwa amani. Maana alichoka kwa mazoezi yakoππ
snitch gani dogo kala ban anagawa sana dislikes πDah snitch kwenye ubora wakoππ
Alimuita kijana wa watu yeye ni punga ngese..Kwani kumfungulia uzi pekee ndo kulikokupa ban? Au ulitukana ndani ya uzi huo?
Alikua mapepe sanaππππ sasa ataelewa ban huwa inauma vipi!snitch gani dogo kala ban anagawa sana dislikes π