Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

Habari wanajamii....

Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...

Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...

Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!

Ahsante...
Tukutafutie BAN nyingine au tukuacheache kwanzza
 
Dogo ana I'd kama mvua yulee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, utashituka ana support hapa kwa kujipondea, ili baadae aseme mlimchokoza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bado haita saidia maana alisema yeye ni maarufu humu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Na mwandiko wake unajulikana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sijui atakuja kwa gia gani sasa!
 
Habari wanajamii....

Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...

Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...

Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!

Ahsante...
Hio ban ilisababishwa na mzee wa dislike bila shaka๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ niliona akikusagia kunguni Kwa mods kwenye Uzi wako
 
Bado haita saidia maana alisema yeye ni maarufu humu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Na mwandiko wake unajulikana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sijui atakuja kwa gia gani sasa!
Ko alikuwa anatafuta umaarufu kwa dislike๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, sema aliupata maana Kuna watu walianzisha Hadi Uzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Habari wanajamii....

Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...

Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...

Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!

Ahsante...
Karibu sana kijana
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃile ID mpya ilishaanza zoeleka
 
Back
Top Bottom