Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

Habari wanajamii....

Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...

Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki kwa kutumia reaction ya dislike ndivyo sivyo...

Sasa nimerejea tena na nina amani tele moyoni wangu....
Nawakaribisha hapa tena tuungane na kuendelea kuchagizana na mastory mengi kama tulivyokuwa hapo awali!

Ahsante...
hongera sana

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom