IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
- Thread starter
- #41
Nilionekana ndio chanzo😂😂😂😂hivyo nikabebeshwa gunia la misumari mkuu😂😂😂Sasa inakuwaje wamshukie members wengine lakini ban ule wewe..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilionekana ndio chanzo😂😂😂😂hivyo nikabebeshwa gunia la misumari mkuu😂😂😂Sasa inakuwaje wamshukie members wengine lakini ban ule wewe..??
Ahsante...Karibu sana kijana
Kwangu pia alinipiga dislike za kutosha, lakini saa hii sizioni..!! SIjui tulizompa nazo wamezifuta..!!Mods walifuta dislike zote maana alinipiga dislike 117 Kwa siku
Eti yeye kila kitu cha JF anakua sensitive mbna yatamshinda, lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya babaa tamuuu locs wapii, nije kukupongezaa kwa kuwa huru.Sawa..nimekoma mama tamuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mods wakazifuta zoteAlikua anakera sana😂😂😂 duh! Dislike 117😂😂😂
Sema Kuna watu aliwasomesha namba😂😂Alikua na umama mwingi😂😂😂😂hadi mademu wanamchana ila akajikaza kisabuni😂😂😂😂
Kumbe walizifutaa😂😂Mods wakazifuta zote
Mods wali erase zote bossKwangu pia alinipiga dislike za kutosha, lakini saa hii sizioni..!! SIjui tulizompa nazo wamezifuta..!!
Eee waliziondoa kwangu siku Moja tu zilifika 117 siku ya pili zikafika 200Kumbe walizifutaa😂😂
Wapiii mbna sijaonaa kanitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakua naitumia kwa story za maisha yangu halisi..[emoji23][emoji23][emoji23] pia kuna story ya kukimbiwa na wife kule pita uicheki[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba unitag mkuu, napendaga uandishi wako. Kuanzia safari ya Johannesburg na khumbu😂😂Nitakua naitumia kwa story za maisha yangu halisi..😂😂😂 pia kuna story ya kukimbiwa na wife kule pita uicheki😂😂😂
itakua matusiKumbe kalishwa ban..!! Kisa cha kulishwa ban ni nini? Zile dislike au naye alimtukana mtu?
Naona umebadilisha jina 😂😂, Mr 06Eee waliziondoa
Sema dogo ana ugonjwa wa kutafuta attention seekeritakua matusi
NilikuA najaribu Jana😂😂 ile nataka kurudisha 06 mods aka reject😂😂 mod wa usiku wa Jana alikua korofiNaona umebadilisha jina 😂😂, Mr 06
Hadi tulizompa kwa kulipa kisasi nazo walizifuta??Mods wali erase zote boss
kua makini yupo anajiita Voice of Tanzania 😂Alikua mapepe sana😂😂😂😂 sasa ataelewa ban huwa inauma vipi!