Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

Tukutafutie BAN nyingine au tukuacheache kwanzza
 
Dogo ana I'd kama mvua yuleeπŸ˜‚πŸ˜‚, utashituka ana support hapa kwa kujipondea, ili baadae aseme mlimchokozaπŸ˜‚πŸ˜‚
Bado haita saidia maana alisema yeye ni maarufu humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na mwandiko wake unajulikana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sijui atakuja kwa gia gani sasa!
 
Hio ban ilisababishwa na mzee wa dislike bila shakaπŸ˜€πŸ˜€ niliona akikusagia kunguni Kwa mods kwenye Uzi wako
 
Karibu sana kijana
 
🀣🀣🀣🀣ile ID mpya ilishaanza zoeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…