IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
- Thread starter
-
- #41
Nilionekana ndio chanzoππππhivyo nikabebeshwa gunia la misumari mkuuπππSasa inakuwaje wamshukie members wengine lakini ban ule wewe..??
Ahsante...Karibu sana kijana
Kwangu pia alinipiga dislike za kutosha, lakini saa hii sizioni..!! SIjui tulizompa nazo wamezifuta..!!Mods walifuta dislike zote maana alinipiga dislike 117 Kwa siku
Eti yeye kila kitu cha JF anakua sensitive mbna yatamshinda, lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya babaa tamuuu locs wapii, nije kukupongezaa kwa kuwa huru.Sawa..nimekoma mama tamuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mods wakazifuta zoteAlikua anakera sanaπππ duh! Dislike 117πππ
Sema Kuna watu aliwasomesha nambaππAlikua na umama mwingiππππhadi mademu wanamchana ila akajikaza kisabuniππππ
Kumbe walizifutaaππMods wakazifuta zote
Mods wali erase zote bossKwangu pia alinipiga dislike za kutosha, lakini saa hii sizioni..!! SIjui tulizompa nazo wamezifuta..!!
Eee waliziondoa kwangu siku Moja tu zilifika 117 siku ya pili zikafika 200Kumbe walizifutaaππ
Wapiii mbna sijaonaa kanitag [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakua naitumia kwa story za maisha yangu halisi..[emoji23][emoji23][emoji23] pia kuna story ya kukimbiwa na wife kule pita uicheki[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba unitag mkuu, napendaga uandishi wako. Kuanzia safari ya Johannesburg na khumbuππNitakua naitumia kwa story za maisha yangu halisi..πππ pia kuna story ya kukimbiwa na wife kule pita uichekiπππ
itakua matusiKumbe kalishwa ban..!! Kisa cha kulishwa ban ni nini? Zile dislike au naye alimtukana mtu?
Naona umebadilisha jina ππ, Mr 06Eee waliziondoa
Sema dogo ana ugonjwa wa kutafuta attention seekeritakua matusi
NilikuA najaribu Janaππ ile nataka kurudisha 06 mods aka rejectππ mod wa usiku wa Jana alikua korofiNaona umebadilisha jina ππ, Mr 06
Hadi tulizompa kwa kulipa kisasi nazo walizifuta??Mods wali erase zote boss
kua makini yupo anajiita Voice of Tanzania πAlikua mapepe sanaππππ sasa ataelewa ban huwa inauma vipi!