mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ushamba unaniepusha na mengiπ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa? Bora uendelee kuwa mshamba hivyo hivyo humu changanyikeni utakuta unatongoza dume
YouTube Kuna wajomba napiga nao kazi za simulizi hapo hatukosi ela babuuππNipe idea tuanzie wapi? Au mjini YouTube...πππ
Poa tutayajenga!YouTube Kuna wajomba napiga nao kazi za simulizi hapo hatukosi ela babuuππ
πππ, Kwisha habari yakee au ni Mwachiluwi π€π€Mimi alinipiga kizinga nikachomoa betri fasta akamaindi kweli!
Hata huyo pia nilimpotezea hewani...πππ, Kwisha habari yakee au ni Mwachiluwi π€π€
Dah vijana wanna vurugu kama kasuku wa ikuluHata huyo pia nilimpotezea hewani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu hebu fanyaa vikao vianzee, safariii harusi tunayooo. Iwe ya kheri au shari ila watu lazima wale ubwabwaa.[emoji1787][emoji1787] tuanze vikao vya harusi moja kwa moja wewe huitaji kitchen party kungwi mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usi msanuee uduguu, muachee kwan[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa? Bora uendelee kuwa mshamba hivyo hivyo humu changanyikeni utakuta unatongoza dume