Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

[emoji1787][emoji1787] tuanze vikao vya harusi moja kwa moja wewe huitaji kitchen party kungwi mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu hebu fanyaa vikao vianzee, safariii harusi tunayooo. Iwe ya kheri au shari ila watu lazima wale ubwabwaa.
 
Back
Top Bottom