mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ushamba unaniepusha na mengi😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa? Bora uendelee kuwa mshamba hivyo hivyo humu changanyikeni utakuta unatongoza dume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushamba unaniepusha na mengi😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa? Bora uendelee kuwa mshamba hivyo hivyo humu changanyikeni utakuta unatongoza dume
YouTube Kuna wajomba napiga nao kazi za simulizi hapo hatukosi ela babuu😁😁Nipe idea tuanzie wapi? Au mjini YouTube...😂😂😂
Poa tutayajenga!YouTube Kuna wajomba napiga nao kazi za simulizi hapo hatukosi ela babuu😁😁
😂😂😂, Kwisha habari yakee au ni Mwachiluwi 🤔🤔Mimi alinipiga kizinga nikachomoa betri fasta akamaindi kweli!
Hata huyo pia nilimpotezea hewani...😂😂😂, Kwisha habari yakee au ni Mwachiluwi 🤔🤔
Dah vijana wanna vurugu kama kasuku wa ikuluHata huyo pia nilimpotezea hewani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu hebu fanyaa vikao vianzee, safariii harusi tunayooo. Iwe ya kheri au shari ila watu lazima wale ubwabwaa.[emoji1787][emoji1787] tuanze vikao vya harusi moja kwa moja wewe huitaji kitchen party kungwi mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usi msanuee uduguu, muachee kwan[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa? Bora uendelee kuwa mshamba hivyo hivyo humu changanyikeni utakuta unatongoza dume